Envaya
MWAYODEO kwa kushirikiana na UWEZO East Africa,imewefanya zoezi la upimaji wa uwezo wa watoto walio na umri kati ay miaka 5-16 katika wilaya ya Kilosa.Jumla ya vijiji 25 vilifikiwa na wakusanyaji wa takwimu katika ngazi ya kaya,vijiji na shule za msingi.
2 Juni, 2010
Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.