Jumuiya yetu inafanya kazi ya kuwajengea uwezo jamii ya watu wa wilaya ya Bagamoyo katika nyanja ya elimu ya ujasiliamali, kilimo na mifugo kwa kuwajengea wafugaji malambo ya kunyweshea mifugo yao, kuweka na kukopa(SACCOS) na tunawapatia mikopo kwa kuendeleza shughuli na miradi mbalimbali ndani ya vikundi vyao. Utawala bora husuani katika uwazi na uwajibikaji kwa Viongozi wa Vikundi na watendaji wa Serikali za mtaa, na kusambaza mbegu za mihogo zinazohimili magonjwa.
Amakuru agezweho
Jumuiya Endelevu Bagamoyo submitted FCS Narrative Report.
21 Kamena, 2011
Jumuiya Endelevu Bagamoyo yakoze Ikipe paje.
Jumuiya yetu inaongozwa na Kamati ya utendaji ambapo kuna mwenyekiti, Katibu mtendaji, mweka Hazina. Pia kuna wataalam na watendaji wa siku kwa siku ndani ya Jumuiya km Afisa Mipango na fedha, Msimamizi wa miradi, na Mhudumu wa ofisi. Lakini chombo cha juu chenye mamlaka katika Jumuiya yetu ni mkutano mkuu wa wanachama... Soma ibindi
2 Werurwe, 2011
Jumuiya Endelevu Bagamoyo yakoze Imishinga paje.
Jumuiya yetu inafanya kazi ya kuwajengea uwezo jamii ya watu wa wilaya ya Bagamoyo katika nyanja ya elimu ya ujasiliamali, kilimo na mifugo kwa kuwajengea wafugaji malambo ya kunyweshea mifugo yao, kuweka na kukopa(SACCOS) na tunawapatia mikopo kwa kuendeleza shughuli na miradi mbalimbali ndani ya vikundi vyao. Utawala... Soma ibindi
2 Werurwe, 2011
Jumuiya Endelevu Bagamoyo yakoze Amateka paje.
JEBA Society, ni kifupisho cha neno Jumuiya Endelevu Bagamoyo. Lilianzishwa mwaka 2000 na kupata usajili wa kisheria mwaka 2001, na kupewa cheti namba SO.11190. Lilianzishwa na vikundi vya kijamii kutoka wilaya ya Bagamoyo mjini na jimbo la Chalinze. Lengo kuu lilikuwa ni kuondokana na uonevu waliokuwa wakipata wakati misaada iliyokuwa... Soma ibindi
2 Werurwe, 2011
Jumuiya Endelevu Bagamoyo submitted FCS Narrative Report.
1 Werurwe, 2011
Ibyiciro
Aho uherereye
Bagamoyo, Pwani, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye
Reba ibigo mwegeranye