Envaya

MTWANGONET imeanza kufanya Ufuatiliaji na Tathimini katika miradi yake kwa Azaki wanachama wa Mtwangonet, tunakaribisha maoni na mapendekezo ili kuboresha shughuli hii, Azaki wanachama mnaombwa kutoa ushirikiano wa kutosha kwa maafisa wetu wa ufuatiliaji na Tathimini.

4 Juni, 2011
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (1)

Wanachama wa MTWANGONET tunawaomba kutumia fursa hii ya tovuti ipasavyo vinginevyo haitakuwa na maana kwetu hasa sisi wakazi wa wilaya ya MTWARA.
4 Juni, 2011

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.