Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
tuna changamoto kubwa sana kwa nini tunapokwenda kuomba bajeti ya manispaa kuipata inakuwa ni vigumu sana.kuanzia kwa mkurugenzi,hiyo ndiyo changamoto tuliyo nayo wiki hii.