Kuwajengea uwezo jumuia wanachama iliziweze kufanya ushawishi na utetezi wa masuala ya jamii, kuanzisha na kuendeleza maktaba za jamii zanzibar, kuelimisha jamii kuhusu masuala ya jinsia, kujilinda na ukimwi na kuhifadhi mazingira kwa kupitia semina, warsha na mikutano ya kijamii.
Mabadiliko Mapya
MJUMUIKO WA JUMUIYA ZA KIJAMII ZANZIBAR imeumba ukurasa wa Timu.
1. Mr Vuai Issa Haji - Chairperson – 2. Ms Hidaya Makame - Vice Chairperson – 3. Ms Mwanakhamis K Soud - Secretary /Coordinator – 4. Mr Abdulkadir S Ali - Assistant Secretary/Assistant Coordinator – 5. Ms Hassina Hemed Juma - Accountant – 6. Mr Adam Muhsin - Cashier ... Soma zaidi
27 Mei, 2011
MJUMUIKO WA JUMUIYA ZA KIJAMII ZANZIBAR imejiunga na Envaya.
26 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
KIEMBESAMAKI, Unguja Mjini Magharibi, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu