Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations
Manyara training institute ni chuo kinachotoa mafunzo kwa wote waliohitimua kidato cha nne na kuendelea katika kozi za kilimo na mifugo na ufundi wa magari nyote mnakaribishwa chuo kinafunguliwa tar 5.1.2014
10 Ugushyingo, 2013
Ibitekerezo (5)