Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Manyara training institute ni chuo kinachotoa mafunzo kwa wote waliohitimua kidato cha nne na kuendelea katika kozi za kilimo na mifugo na ufundi wa magari nyote mnakaribishwa chuo kinafunguliwa tar 5.1.2014
10 Novemba, 2013
Ifuatayo »

Maoni (5)

Allen J Katabazi (Babati) alisema:
Fomu wanafunzi watazipataje?
31 Machi, 2014
Allen J Katabazi (Babati) alisema:
Mkuu tunaomba utukumbuke kuhusu vifaa.
31 Machi, 2014
(Afahamiki) alisema:
Kilicho liziki hakiliji
30 Januari, 2015
(Afahamiki) alisema:
Duh! Kwa nn hakiliki we ulieficha jina
3 Februari, 2015
salum seleman (arusha) alisema:
mkuu picha za wanafunzi zipo wap
8 Agosti, 2015

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.