MILELE FOREST AND WILDLIFE CONSERVATION ASSOCIATION(MFAWICA) (Kigoma/Tanzania) said:
Na hao wahamiaji haramu vipi?Yaani wanaingia kuharibu maliasili zetu za Taifa na wanavijiji wanawangalia tu,kweli Tz yetu ni jalala la kutpia uchafu,Kama Nchi nyingine huo ndo ulikuwa mwisho wao.Lakini je si walishaachiwa hao?Naombeni kujua.
Comments (1)