Kwa mti huu tu unatosha kuwa kivutio cha watalii katika hifadhi ya Milele Forest Karobwa,Na sasa kuna sokwe,Nyati,Chui,Pongo Nyani wa aina mbalimbali n.k/Je,haipasi kwa watanzania wote kuunga mkono asasi hii ya MFAWICA ili ifike mbali zaidi kwa maendeleo ya Watanzania wote?Kazi njema na juhudi MFAWICA tnaona utendaji wenu Mtakumbukwa kwahaya mtendayo,Kazeni buti songeni mbele.
Ibitekerezo (1)