Vijana MEECO TALENT GROUP (MTG) wakiwa na viatu vyao baada ya mshauri wao wa kigeni Bibi Katrina Demmuling kuwasaidia fedha kidogo za kununulia vifaa vyao zikiwemo nguo na raba ambazo wanazo hapo
21 Septemba, 2011
![]() | MWANAKWEREKWE ENVIRONMENTAL ETHICS AND CULTURAL ORGANIZATION (MEECO)Zanzibar, Tanzania |

Maoni (1)