
Wageni wakiwa katika ziara ya mafunzo

Washiriki wakiwa katika semina ya sera ya mazingira

Watoto wazururaji wamekimbia skuli

Mashamba yaliyoathirika kwa kuingia maji ya chunvi. Kwahivyo yamehamwa

Wanachama wa meca wakiwa katika doria

Athari za kuchimba mchanga na kukata miti ovyo imepelekea maji ya chunvi kupanda maeneo ya makazi

Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Bilali akishirikiana na wanameca akipanda miti mwaka 2011

Wadau wa mazingira wa kaskazini 'A' wakimsikiliza muwezeshaji.

Wanajumuiya wakisikiliza hoja za wajumbe wa mkutano mkuu wa mwaka 2010