Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Mashamba yaliyoathirika kwa kuingia maji ya chunvi. Kwahivyo yamehamwa

Athari za kuchimba mchanga na kukata miti ovyo imepelekea maji ya chunvi kupanda maeneo ya makazi

Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Bilali akishirikiana na wanameca akipanda miti mwaka 2011

Wanajumuiya wakisikiliza hoja za wajumbe wa mkutano mkuu wa mwaka 2010





