Mwenyekiti wa shirika akiwa na moja ya wahisani katika jengo la tansmiter ya matamngazo ya Radio Mazingira FM Wilayani Bunda.
Wanafunzi washule ya msingi marambeka wakiwa katika mateso makubwa ya kupata elimu katika mazingira magumu mwaka 2015
Ujenzi wa jengo la maabara ukiendelea katika picha ni wahisani kutoka Uhoranzi wakiwa wametembelea shuleni kuangaria kazi nzuri aliyokuwa akifanya kijana wao mpendwa SJOERD VAN DEN HAUVEL.
Wahisani wetu kutoka uhoranzi wakitoa masaada wa vifaa mbalimbali vya kupimia afya katika zahanati ya kijiji cha Marambeka mwaka 2015.
Wanafunzi wa shule ya sekondari Esperanto wakiwa mbele ya jengo la Utawala lililojengwa na wananchi kwa kushirikiana na shirika la Mazingira
Jengo la kwanza la shule ya sekondari Esperanto lililojengwa na Shirika la mazingira kwa kushirikiana na wahisani wa nje na ndani ya nchi
Baadhi ya vifaa vya wanafunzi kama vile sare za shule, madaftari na vitabu vikiwa vimeandaliwa tiari kwa kuwagawia wanafunzi katika kata ya Ketare na Salama. Tunawashukuru sana wahisani wetu kwa kuendelea kuijali na kuiendeleza elimu katika jamii yetu kupitia shirika letu.