Envaya

MASWA UMOJA WA WANAWAKE WA KIISLAM

STENDI MPYA - MASWA MJINI, Tanzania

kutoa huduma kwa watoto yatima na waishio katika mazingira magumu na wale wanaoishi na vvu/ukimwi

kuwasidia wanawake wajane katika huduma za kijamii ikiwemo pamoja na elimu ya ujasiliamali

kutoa elimu ya utayari kwa wanawake katika nyanja nzima ya utendaji kazi na maendeleo

Mabadiliko Mapya
MASWA UMOJA WA WANAWAKE WA KIISLAM imejiunga na Envaya.
1 Julai, 2011
Sekta
Elimu, Mazingira, Afya, Wanawake, Nyingine (kutetea haki za wafungwa wanawake,watoto)
Sehemu
STENDI MPYA - MASWA MJINI, Shinyanga, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu