Envaya

KUPATA WABIA NA WAFADHILI

MATUMAINI EDUCATION DEVELOPMENT AND COMMUNITY EMPOWERMENT{MEDCE} (IRINGA MJINI,KATA YA ISAKALILO)
15 Novemba, 2011 18:03 EAT

SHIRIKA LA MEDCE LINAKARIBISHA MASHIRIKA MBALMBALI YANAYOPENDA KUFANYA KAZI NASI,LAKINI BADO SHIRIKA LETU HALIJAPATA WAFADHILI. NA PIA TUNAOMBA SHIRIKA LOLOTE LINALOWEZA KUFADHILI KAZI ZETU,AU MTU BINAFSI NK ILI TUWEZE KUSAIDIA JAMII YETU-MKURUGENZI WA SHIRIKA


Ongeza Ujumbe Mpya

Karibisha watu kushiriki