Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations
  • KUENDELEZA MICHEZO MBALIMBALI IKIWEMO MICHEZO YA JADI.
  • KUHAKIKISHA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MICHEZO.
  • KUANDAA MAFUNZO YA WALIMU WA MICHEZO NA WANAMICHEZO.
  • KUJENGA SEHEMU ZA MAPUMZIKO (RECREATION CENTRES).
  • KUENDELEZA KILIMO.
  • KUTAFUTA PEMBEJEO ZA KILIMO NA KUTAFUTA MASOKO YA MAZAO YA BIASHARA.
  • KUSAIDIA WANACHAMA KUANZISHA MIRADI MIDOGO YA KIUCHUMI.
  • KUONDOA UMASIKINI.
  • KUPAMBANA DHIDI YA UKIMWI.
  • KUTAFUTA WAHISANI/WAFADHILI WA NDANI NA NJE YA NCHI WA KUSAIDIA KUFANIKISHA MALENGO YA SHIRIKA LA MASAFA.
Latest Updates
MASASI SPORTS AND FARMING ASSOCIATION joined Envaya.
May 17, 2011
Sectors
Location
MASASI, Mtwara, Tanzania
See nearby organizations