Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Mashirika ya Ubia
Mabadiliko Mapya
PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (PDPR) imehariri ukurasa wa Historia.
Pretty Development for Poverty Reduction (PDPR) - is a local (Non-governmental Organization and non-profit making). Situated in Njombe district but operate in whole national (Zanzibar and Tanzania mainland), PDPR base in rural... Soma zaidi
29 Septemba, 2020
PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (PDPR) imehariri ukurasa wa MIKOPO YA MASHINE.
MIKOPO YA MASHINE NA ZANA ZA KILIMO BILA DHAMANA – – Asasi ya Pretty Development for Poverty Reduction (PDPR) inaunda mashine mbali mbali zenye bei tofauti na kuziuza kwa Fedha Tasilimu (cash) au kwa mkopo kwa kulipa asilimia kati ya 50 hadi 80 na kiasi kilicho baki kukilipa ndani ya miezi 4 hadi 6,... Soma zaidi
29 Septemba, 2020

PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (PDPR) imehariri ukurasa wa EGG INCUBATOR& mizinga.
Asasi ya PDPR inauza na kukopesha vitotozi vya mayai ya kuku automatic na manual vya mafuta ya taa na umeme, mashine za kuchomelea, kufyatulia tofari, biogas plant (umeme wa choo) mizinga ya nyuki, vifaranga vya kuku na samaki na miche ya matunda. Pia tunatoa mafunzo ya ujasiriamali, biashara na masoko, uwekezaji na kilimo cha matunda... Soma zaidi
29 Septemba, 2020
PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (PDPR) imehariri ukurasa wa UCHIMBAJI WA VISIMA.
HATUA ZA UCHIMBAJI WA KISIMA – WATER FOR ALL AFRICAN PROJECT (Waap) – 1) Ufanyaji wa utafiti wa maji ya ardhini (underground water survey) PDPR tunatoza laki 4, na kama eneo lako lipo mbali utatozwa na gharama ndogo za usafiri kati ya laki 4.5... Soma zaidi

28 Juni, 2018

PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (PDPR) imehariri ukurasa wa TECH PROJECTS .
“TECHNICAL PROJECTS FOR FASTER RESULTS” – – – REQUEST OF COMPUTER FOR PDPR DEVELOPMENT CENTER. – PDPR-Development is a new and... Soma zaidi
19 Mei, 2018

18 Mei, 2018