Injira
KUMBURA TWIYAPVE GROUP
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

HISTORIA YA KUMBURA TWIYAPVE GROUP

shirika limeanzishwa mwaka 2002 ambapo tarehe 21/4/2008 lilipata ujasili rasmi na kupatiwa namba ya usajili na.1984 wizara ya maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto Jijini Dar es Salaam