Tunaomba ufadhili kutoka mashirika yanayosaidia NGOS ili shirika letu liweze kufanya kazi
kikamilifu kwani bado wachanga sana tunahitaji ushirikiano na mashirika yoyote yenye malengo yanafofanana na yetu:
1.Kuhusu watoto yatima
2.HIV/AIDS
3.Mazingira na upandaji wa miti
4.misaada ya kisheria
5.Elimu na uendeshaji wa shule