Hivi karibuni kumetokea suala ambalo halikuwa limezoeleka katika masikio yetu watanzania ya kutoana nje ya Bunge kwa nguvu licha ya hata kusikia nini mtu huyo alitaka kusema hivi nduguzanguni ninyi mnaojua mambo zaidi ni sawa?
Ninavyo fahamu mimi ni kwamba kama Mbunge au wabunge wanavunja kanuni za bunge (kwa mfano kumkatisha mbunge anae zungumza bila ruhusa ya Muheshimiwa Spika au mwenye kiti) basi mwenyekiti anayo mamlaka ya kumfukuza nje ya bunge hata nje ya eneo la bunge, ikiwa ametumia lugha ya shari na kadhalika..