Darasa hili licha ya kutumia fedha nyingi za serikali sasa limebomoka maana lilijengwa chini ya viwango, watoto waliokuwa wakisoma katika darasa hili wamekaa nyumbani wakisubiri marekebisho yafanyike.
21 Machi, 2011