Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Lengo la shirika ni Kupambana na Maralia, Ukimwi, Umasikini, na kutoa elimua ya Mzingira kwa jamii katika Mkoa wa Mtwara.
Latest Updates
KIKUNDI CHA KUPAMBANA NA MARALIA NA UKIMWI added a News update.
Kazi zetu ambazo tumezifznya katika miaka mitatu iliyopita ni kutoa elimu juu ya kuthibiti maambukizi mapya ya virusi vya maralia na ukimwi mazingi na umasikini pamoja na hayo yote changa moto tunazo kumbananazo ni kukosa fedha za kujiendesha pamja na vifaa kwa dhima nzima ya shirika letu.Tumeandika madodoso mbalimbali... Read more
May 18, 2011
KIKUNDI CHA KUPAMBANA NA MARALIA NA UKIMWI joined Envaya.
May 18, 2011
Sectors
Location
Mtwara Manispaa, Tanzania
See nearby organizations
See nearby organizations