Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

shirika letu limeelimisha vijana au makundi rika kuhusu kujikinga na maambukizi mapya umimwi shirika letu limefanya kazi katika kata tano za wilaya ya mtwara ambazo ni kata ya jangwami mitengo likombeĀ  chiikongola kisungule pia shirika letu limeweza kugawa misaada kwa watu waishio na virusi nya ukimwi

18 Gicurasi, 2011

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.