Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

FCS Narrative Report

Introduction

KENGEJA ENVIRONMENTAL CONSERVATION AND COMMUNITY DEVELOPMENT
KECCDO
KUJENGEWA UWEZO JUMUIYA
FCS/MG/3/09/194
Dates: DEC-FEB,2010/2011Quarter(s): KIPINDI KIMOJA
RASHID ALI SAID
P.O. BOX 05
KENGEJA-PEMBA
+255777488868.

Project Description

Civil Society Capacity Strengthening
Mradi wetu huu umewawezesha wana asasi kwa kiwangokikubwa kwenye nyanja zifuatazo:
- Tathmini ya mahitaji ya mafunzo ya uongozi
- Mafunzo ya uongozi na usimamizi kwa wajumbe wa kamati tendaji na wanachama
- Kufanya marekebisho ya muundo wa asasi
- Utayarishazi wa kanuni ya fedha
- Mpango mkakati wa viongozi na watumishi wa jumuiya
- Ufuatiliaji na tathmini kwa viongozi wa jumuiya
- Kufanya utafiti wa kina wa matokeo yakoje kabla na baada ya mafunzo
- Kufanya tathmini ya matokeo kabla hali ilikuaje na baada hali ikoje.
RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
Pemba SouthMKOANIMTAMBILEKENGEJA45
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female177
Male288
Total4515

Project Outputs and Activities

Shughuli ya mradi imewajengea uwezo viongozi na wanachama na jinsi ya usimamizi wa shughuli za jumuiya, kutengeneza mpango mkakati, kanuni za fedha pamoja na kufanya tathmini ya mradi.
- Kufanya tathmini ya mahitaji ya mafunzo
- Kutoa mafunzo ya siku tatu ya uongozi na usimamizi kwa wajumbe wa kamati tendaji na wanachama.
- Kufanya marekebisho ya muundo wa asasi
- Kutayarisha kanuni za fedha na utawala(Financial guideline)
- Kutoa mafunzo ya siku mbili ya mpango mkakati kwa viongozi na watumishi 15 wa jumuiya
- Kutoa mafunzo ya siki 2 ya ufuatiliaji na tathmini kwa viongozi 15 wa jumuiya.
- Kufanya utafiti wa kina matokeo kabla ya hali ilikuaje na matokeo yakoje baada ya viongozi kujengwa uwezo
- Kufanya tathmini ya matokeo kabla hali ilikuaje na baada ya matokeo kukamilika kwa mradi hali ikoje kwa sasa juu ya uwezo waliojengewa wanachama na viongozi wa jumuiya
- Gharama za utawala 30%.
> Kuimarika kwa uwezo wa asasi katika kupanga na kutekeleza shughuli za asasi
- Kufanya tathmini ndogo ya mahitaji ya mafunzo.
Wajumbe 4 wa kamati tendaji wameshiriki katika kuandaa tathmini ya mafunzo katika afisi ya jumuia.
- Kupanga utaratibu wa mafunzo na kazi hii imeshughulikiwa kwa kiasi kikubwa.
> Kuepo kwa mfumo wa taratibu zilizwazi na kuongezeka kwa uwajibikaji
- Kufanya marekebisho ya mfumo wa asasi, kanuni za fedha na utawala
- Viongozi na wanchama 10 walishiriki katika mafunzo ya marekebisho ya muundo wa asasi.Kushughulikia muundo wa asasi uliopo na kuufanyia marekebisho. Mafunzo hayo yalifanyika katika ukumbi uliochaguliwa, kazi hii imefanyika kwa kiasi kikubwa.
> Kuimarika kwa uwezo wa asasi katika kupanga na ufuatiliaji. Mafunzo yalitolewa kwa viongozi 10 na watumishi 15 kwa muda wa siku mbili. Kuandaa mpango mkakati wa jumuiya kama kielelezo cha kazi. Kazi hii ilifanyika kwa kiasi kikubwa.

Hakuna tofauti
- Kuimarika kwa uwezo wa asasi katika kupanga na kutekeleza shughuli zake kiasi cha shilingi 965200/- zilitumika.
- Kuwepo kwa mfumo mwenendo wa taratibu zilizo wazi wazi na kuongezeka kwa uwajibikaji, kiasi cha shilingi 1152000/- zilitumika.
- Kuimarisha kwa uwezo wa asasi katika kupanga na ufuatiliaji, kiasi cha shilingi 2712600/- zilitumika.

Project Outcomes and Impact

- Kuongezeka kwa ufanisi na utendaji kwa viongozi na watendaji wa asasi
- Kuimarika kwa uwezo wa asasi katika kupanga, kusimamia na kutekeleza shughuli za asasi.
- Idadi ya viongozi wa asasi waliopatiwa mafunzo
- Kuwepo kwa mifumo iliyoweza uendeshaji wa asasi
- Kufanya tathmini ndogo ya mahitaji ya mafunzo
- Kutoa mafunzo ya siku 3 ya uongozi na usimamizi kwa wajumbe wa kamati tendaji na wanachama.
- Kuwepo kwa mfumo, muundo na taratibu zilizo wazi na kuongezeka uwajibikaji
- Matukio ya mgongano wa majukumu kupungua
- Kiwango cha uwajibikaji wa viongozi kuongezeka
- Kufanya marekebisho ya muundo wa asasi.
- Kutayarisha kanuni za fedha na utawala (financial guideline)
- Wanaasasi wameweza kupata taaluma ya kutatua migogoro itokeapo ndani ya asasi.
- Ni elimu tulioipata baada ya kuwezeshwa na Foundation for Civil Society.

Lessons Learned

Explanation
Kufanya tathmini ya mahitaji ya mafunzo
Mafunzo ya uongozi jna usimamizi kwa wajumbe na kamati tendaji na wanachama
Kufanya marekebisho ya muundo wa asasi
Kutengeneza kanuni za fedha na utawala(Financial guideline)
Mafunzo ya kuandaa mipango mkakati kwa viongozi na watumishi
Mafunzo ya ufuatiliaji na tathmini kwa viongozi

Challenges

ChallengeHow it was overcome
Ufinyu wa bajeti iliyosababishwa na kupanda kwa bei za vifaa vya kuandikia pamoja na vitendea kazi vyengine.Viongozi na wana kikundi waliweza kujitolea kwa baadhi ya vifaa ambavyo bajeti yake ilikua kubwa kinyume na ilivyopangwa.
Mawasiliano na mashirikiano madogo kwa baadhi ya wanachama kudai kushirikiswa na kuhudhuria kila shughuli ambayo imepangwa.Viongozi wa kamati tendaji ya mradi walichukua kila juhudi kutoa taaluma juu ya utekelezwaji wa mradi huu na walengwa wake pamoja na namna kila mshiriki/ mwanachama anavyopaswa kushiriki katika kuendesha mradi huu.
Kukosekana kwa maelewano kwa baadhi ya wajumbe wa kamati ya Sheha (wajumbe wa sheha) wakati wa ufunguzi wa mradi kwa kuweka msisitizo wa kutaka waingizwe katika mchakato mzima wa utekelezwaji wa mradi ikiwa ni pamoja na kuhudhuria katika mafunzoViongozi wa kamati tendaji ya mradi waliweza kutoa ufafanuzi kwa wajumbe wa kamati dhana mzima ya mradi huu wa walengwa ambao walihitajika kupatiwa mafunzo. baada ya kuelewa walikubaliana na Viongozi hao na mradi ukatekelezwa kwa mashirikiano makubwa.

Linkages

StakeholderHow you worked with them
Wadau kutoka NGO nyengine (PEYA)Walitupa mafunzo mbali mbali kuhusiana na utekelezaji wa mradi huu kwa kupitia wakufunzi tofauti toka kwenye jumuiya yao, ikiwemo utatuzi wa migogoro na mambo mengine mengi.
Sheha wa Shehia ya Kengeja.Kutoa ruhusa ya utekelezaji wa miradi yetu katika shehia yake na ushiriki katika shughuli za mradi
SkuliWaliweza kutukodisha ukumbi wakati wa mafunzo.

Future Plans

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
Hatuhusiki

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
People living with HIV/AIDSFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ElderlyFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OrphansFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
YouthFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OtherFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
(No Response)

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
Mafunzo ya kutengeneza mpango kazi2009 kutengeneza mpango kaziKuandaa mpango kazi wa jumuiya

Attachments

(No Response)

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.