Envaya
Mashirika ya Ubia
Mabadiliko Mapya
JIKWAMUE DEVELOPMENT ASSOCIATION-JIDA – jikwamue development Association ni Asasi ya Kiraia isiyotengeneza faida. – Asasi hii imeanzishwa mwaka 2010,na imepata Usajili tarehe 04/02/2011.chini ya sheria ya uanzishwaji wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Act 24/2002. – MAKAO MAKUU – Ofisi za Asasi hii... Soma zaidi
15 Desemba, 2012
Jikwamue Development Association imeongeza MORNGONET kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
27 Septemba, 2012
1.Mengi Mohamed Hariri-Mwenyekti wa Asasi – 2.Isdori Robert Kinzingo-Makamu wa Mwenyekiti – 3.Idd Suleimani Kingo-Katibu Mkuu. – 4.Said J.Juma-Naibu Katibu Mkuu – 5.Asha Athumani Nassoro-Mtunza Hazina. – 6.Mahinda Mahinda-Mjumbe
27 Septemba, 2012
Kufanya Mafunzo ya kuwajengea uwezo wananchi wa Vijiji 6 vilivyomo katika Kata ya Lundi Tarafa ya Matombo kuhusu mbinu za Ufuatiliaji wa Matumizi ya fedha za Ruzuku za Umma {PETS} zinazotengwa na serikali kwa ajili ya maboresho ya sekta ya Elimu.Pia tulifanya mafunzo ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya... Soma zaidi
27 Septemba, 2012
25 Juni, 2012
23 Mei, 2012
8 Februari, 2012
30 Januari, 2012
Foundation for Civil Society imejiunga na Envaya.
Sekta: Nyingine (Civil Society)
30 Agosti, 2010