Envaya
Partner Organizations
Latest Updates
JIKWAMUE DEVELOPMENT ASSOCIATION-JIDA – jikwamue development Association ni Asasi ya Kiraia isiyotengeneza faida. – Asasi hii imeanzishwa mwaka 2010,na imepata Usajili tarehe 04/02/2011.chini ya sheria ya uanzishwaji wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali Act 24/2002. – MAKAO MAKUU – Ofisi za Asasi hii... Read more
December 15, 2012
September 27, 2012
1.Mengi Mohamed Hariri-Mwenyekti wa Asasi – 2.Isdori Robert Kinzingo-Makamu wa Mwenyekiti – 3.Idd Suleimani Kingo-Katibu Mkuu. – 4.Said J.Juma-Naibu Katibu Mkuu – 5.Asha Athumani Nassoro-Mtunza Hazina. – 6.Mahinda Mahinda-Mjumbe
September 27, 2012
Kufanya Mafunzo ya kuwajengea uwezo wananchi wa Vijiji 6 vilivyomo katika Kata ya Lundi Tarafa ya Matombo kuhusu mbinu za Ufuatiliaji wa Matumizi ya fedha za Ruzuku za Umma {PETS} zinazotengwa na serikali kwa ajili ya maboresho ya sekta ya Elimu.Pia tulifanya mafunzo ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa Kamati ya Maendeleo ya... Read more
September 27, 2012
June 25, 2012
May 23, 2012
February 8, 2012
January 30, 2012
Sectors: Other (Civil Society)
August 30, 2010