Envaya
JINSIA NA MAENDELEO
Majadiliano
KUTOA ELIMU YA UFUNDI KWA JAMII.
Mada hii inahusu kuwawezesha wanajamii kuweza kutengeneza na kuuza bidhaaa zao wenyewe,ili kuweza kujikwamua na umaskini kwa wao wenyewe kuanzisha viwanda vidogo kama vya kutengeneza sabuni za mchena za unga nk.
8 Julai, 2013 na DANIEL PININI.
Majadiliano mengine kwenye Envaya
Ongeza Mada Mpya