Una habari juu ya mashindano ya ngao ya Hisani yanayoendeshwa na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania kila mwezi wa sita?Je,ni haki yaitwe ngao wakati hakuna senti hata moja inayoingia katika kuchangia jamii kama watoto yatima,wajane na wengineo wanaohitaji hisani?
Julius Muungano (PELO-Dar es Salaam)
9 Mei, 2011 20:11 EAT
Sango Kipozi Mwenyekiti Mtendaji JEAN media (Dar es salaam. )
13 Mei, 2011 22:48 EAT (ilihaririwa 26 Machi, 2012 08:06 EAT)