Kuhusu
Peleleza
Tafuta
Jitolee
Mabadiliko
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Fungua
Journalists Environment and (HIV)Aids Network
Dar-es-salaam, Tanzania
Mkuu
Habari
Miradi
Timu
Mtandao
Majadiliano
Mawasiliano
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza.
Hariri tafsiri
Kuna mapungufu gani hasa katika katiba ya sasa yanosababisha wananchi kutaka Katiba mpya?
(9)
katiba ya sasa inamnyima haki ya kujieleza bila mipaka kama katiba inavyosema katika kipengele cha muswada wa haki za binadamu kinavyosema, kwani baadhi ya taasisi za serikali zinafanya kazi chini ya ofisi ya rais hivyo...
23 Julai, 2014 na Dickson lukungu
UNYANYASAJI/UDHALILISHAJI WA KIJINSIA KWA WASICHANA KWENYE JAMII YETU.
(4)
Hapa ni FADECO RADIO,Karagwe. Suala la unyanyasaji wa kijinsia umeshika kasi katika wilaya ya Karagwe. Na kwa hapa, radio fadeco imeamua kufanya media campaign. Baado mikutano na wadau hapa wilayani inaendelea ...
11 Aprili, 2013 na Joseph Sekiku
JE NI MHIMU KWA SASA WAZEE WOTE TANZANIA KUPEWA PENSION JAMII BILA KUJALI ALIFANYA KAZI SERIKALINI AU LA?
(10)
Inawzekana kabisa serikali inatakiwa kuanza utekelezaji wake mapema hata wakianza kwa sh 30000 za kitanzania itapendeza maana nchi yetu sio masikin.
10 Machi, 2013 na Hubert
Electric power situation in Tanzania what should be done?
(3)
@Sango Kipozi (Dar-es-salaam, Jeanmedia): – Tatizo ni ukiritimba uliopo kwenye uwekezaji katika sekta ya umeme, chukua mfano wa uwekezaji wa mawasiliano matokeo yake hayo hapo, hadi vijijini watu wanapata...
1 Agosti, 2011 na David Baragi
UFISADI TANZANIA
(6)
Kama mapambano ya rushwa, ufisadi na Ukimwi yangepewa kipaumbele kama vile taifa lilivyopambana na ujinga(miaka ya 60), vita vya kagera (mwishoni mwa miaka ya 70),ulanguzi na uhujumu uchumi(miaka ya 80) naamini kuwa taifa...
26 Julai, 2011 na Noel Mwembere (Katibu wa Elders for the prevention of Aids(EPA-UKIMWI)
Utovu wa nidhamu kwa wakubwa kizazi kipya.hujikoloh
(2)
@Sango Kipozi (Dar es salaam): muingiliano wa tamaduni za kigeni ni moja...
16 Juni, 2011 na wilbert njarabi
Una habari juu ya mashindano ya ngao ya Hisani yanayoendeshwa na shirikisho la mpira wa miguu Tanzania kila mwezi wa sita?Je,ni haki yaitwe ngao wakati hakuna senti hata moja inayoingia katika kuchangia jamii kama watoto yatima,wajane na wengineo wanaohitaji hisani?
(2)
Ni kweli kwamba Ngao ya ni mashindno ya soka ynayondaliwa na shirika la mpira wa miguu (TFA)...
13 Mei, 2011 na Sango Kipozi Mwenyekiti Mtendaji JEAN media
Majadiliano mengine kwenye Envaya
Ongeza Mada Mpya
Sambaza:
Barua pepe
Facebook
Twitter
Google+