Envaya

THE IRINGA ENVIRONMENTAL PROTECTERS

gangilonga kichangani, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
IRINGA INVAROMENTAL INAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA WATANZANIA WOTE NA WAKURUGENZI WA INVAYA PAMOJA NA WAFANYAKAZI WOTE WA INVAYA!
Ngo ya ulinzi wamazingira na vyanzo vyamaji inawajulisha Kuwa msimu wakupanda miti umekaribia kwakanda yakusini nyanda zajuu Iringa namikoa jirani tunaomba tushirikiane kupanda miti .