wajumbe wa CHMT ya wilaya ya kilolo,CSOs, na na uongozi wa ICISO wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kutambulisha mradi wa COMMUNITY ENGAGEMENT ON IMPROVING LIVELIHOOD AND GOVERNMENT ACCOUNTABILITY unaofadhiliwa na The Foundation For Civil Society (FCS)
Wananchi wa kijiji cha MADEGE walihudhuria mkutano wa hadhara wa kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya rasilimali za Umma(PETS) na uridhishwaji wa huduma za afya (PSDA)juu ya afya ya uzazi na mtoto.
Mwananchi wa kijiji cha MADEGE akitoa maoni yake katika mkutano wa hadhara wa kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya rasilimali za Umma(PETS) na uridhishwaji wa huduma za afya (PSDA)juu ya afya ya uzazi na mtoto.
Wananchi wa kijiji cha MADEGE walihudhuria mkutano wa hadhara wa kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya rasilimali za Umma(PETS) na uridhishwaji wa huduma za afya (PSDA)juu ya afya ya uzazi na mtoto.
Wananchi wa kijiji cha MADEGE walihudhuria mkutano wa hadhara wa kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya rasilimali za Umma(PETS) na uridhishwaji wa huduma za afya (PSDA)juu ya afya ya uzazi na mtoto.
Wananchi wa kijiji cha ITABALI walihudhuria mkutano wa hadhara wa kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya rasilimali za Umma(PETS) na uridhishwaji wa huduma za afya (PSDA)juu ya afya ya uzazi na mtoto.

Mwenyekiti wa kijiji cha ITABALI akifungua mkutano wa hadhara uliotishwa na ICISO, kwa ufadhili wa FCS kuzungumzia ufuatiliaji wa matumizi ya raslimali za umma (PETS) na uridhishwaji wa upatikanaji wa huduma za afya (PSDA) katika kipengele cha afya ya uzazi na mtoto.
Wananchi wa kijiji cha IGUNGA walihudhuria mkutano wa hadhara wa kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya rasilimali za Umma(PETS) na uridhishwaji wa huduma za afya (PSDA)juu ya afya ya uzazi na mtoto.