Kusaidia jamii katika kujikwamua na umasikini kwa kuangalia makundiya wajasilia mali, waviu, watoto, vijana na wanawake kwa kuwajengea uwezo katika elimu
Mabadiliko Mapya
INTEGRATED CONSULTANCY AND DEVELOPMENT FOUNDATION imeongeza FAIDIKA WOTE PAMOJA kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
faidika wote pamoja ni shilika ambalo tunaubia wa kushilikiana kwa kupeana taarifa za watoto waishio katika mazingira hatarishi.
18 Mei, 2011
INTEGRATED CONSULTANCY AND DEVELOPMENT FOUNDATION imejiunga na Envaya.
16 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
Wilaya ya Mtwara, Mtwara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu