Fungua
Huruma Care Development

Huruma Care Development

Arumeru, Tanzania

large.jpg

Watoto wakiogelea katika maporomoko ya maji pamoja na volunteer Bi Sophia Dorner kutoka Ujerumani

2 Novemba, 2012
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (1)

[maoni yamefutwa]
Huruma Care Development (Ilboru Arusha HuCaDe) alisema:
Kutokana na volunteer huyu watoto hawa wameweza kupelekwa maeneo mengi ya burudani na hata kusahau shida zao kwa muda na kujifunza mengi kutokana na mambo mengi waliyoyaona hata na mazingira pia. Tunatoa mwito kwa wengine wote watakaoguswa kama Sophia kuwapa watoto wetu furaha kwani ni kitu kikubwa sana katika maisha ya binadamu yeyote.
2 Novemba, 2012

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.