Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Hepi women cultural development, Kilianza June 2005 kikiwa na waanzilishi mahili. Nakifupi cha Kikundi hiki (hewocude), Mnamo mwaka 2007 kika anza shughuli za kuandika miradi ya hapa na pale kwaa jili yakuanza kazi yake kama ili vyo kusudiwa. Ambapo hewocude ina husika na kumtambulisha mwanamke kiutamaduni na ina pambana na mabo yafuatayo" utumiaji madawa ya kulevya kwa vijana, haki ya mwanamke na jamii, H.I.V AIDS kutoa elimu kuhusu uelewa wa kupambana kisawaswa katika jamii kwa ujumla.Pamoja namabo mengi ambayo hewocude ilikusudia kuyafanya endapo litapata ruzuku. hewocude hasa ina husu vijana kwa ujumla lakini hususani mwanamke. Asante.