UTANGULIZI:
HEALTH AND DEVELOPMENT FOR PEOPLE LIVING WITH HIV/AIDS(HEDEA) . NI ASASI YA KIRAIA (NGO) ILIYO SAJILIWA MWAKA 2007. KWA JINA TAJWA HAPO JUU MAKAO YAKE MAKUU NI MJINI KYELA- MBEYA.
LENGO LA ASASI:
(HEDEA) NI ASASI ILIYOUNDWA KWA MADHUMUNI YAFUATAYO:-
- KUSAIDIA WATOTO WANAISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
- KUTOA ELIMU KWA JAMII KUHUSU KUEPUKA MAAMBUKIZI YA VVU/UKIMWI
- KUWAWEZESHA WAVIU KUANZISHA MIRADI MIDOGO MIDOGO(UJASIRIA MALI)
- KUWAPATIA WAVIU HUDUMA NA MAHITAJI MUHIMU
- KUTOA HUDUMA MUHIMU KWA WATOTO YATIMA
- KUTOA HUDUMA MUHIMU KWA WAJANE NA WAGANE