Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

UTANGULIZI:

HEALTH AND DEVELOPMENT FOR PEOPLE LIVING WITH HIV/AIDS(HEDEA) . NI ASASI YA KIRAIA (NGO) ILIYO SAJILIWA MWAKA 2007.  KWA JINA TAJWA HAPO JUU MAKAO YAKE MAKUU NI MJINI KYELA- MBEYA.

LENGO LA ASASI:

(HEDEA) NI ASASI ILIYOUNDWA KWA MADHUMUNI  YAFUATAYO:-

  1. KUSAIDIA WATOTO WANAISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU
  2. KUTOA ELIMU KWA JAMII KUHUSU KUEPUKA MAAMBUKIZI YA VVU/UKIMWI
  3. KUWAWEZESHA WAVIU KUANZISHA MIRADI MIDOGO MIDOGO(UJASIRIA MALI)
  4. KUWAPATIA WAVIU HUDUMA NA MAHITAJI MUHIMU
  5. KUTOA HUDUMA MUHIMU KWA WATOTO YATIMA
  6. KUTOA HUDUMA MUHIMU KWA WAJANE NA WAGANE