Log in
HUMAN RIGHT AGENCY FOR RURAL DEVELOPMENT

HUMAN RIGHT AGENCY FOR RURAL DEVELOPMENT

CHEMBA, Tanzania

Kutoa elimu ya haki za binadamu na kuhamasisha Utawala wa sheria.

Kutoa elimu juu ya sheria.

kuhamasisha maendeleo katika jamii.

kutoa usaidizi wa kisheria na kutatua migogoro katika jamii.

Kuhamasisha maendeleo kwa kuzingatia matumizi bora ya rasilimali zinazoizunguka jamii.

Kutunza na kulinda mazingira.

kutoa elimu ya afya ya uzazi na malezi.

kutoa elimu ya usalama wa chakula.

kuhamasisha kilimo bora na chenye tija.

 

 

Latest Updates
HUMAN RIGHT AGENCY FOR RURAL DEVELOPMENT created a Team page.
UONGOZI WA SHIRIKA. – Mwenyekiti. EUGENE P. MAWELE. Makamu. AMINA A. OMARY. Katibu mkuu. ASHURA DUI. Katibu msaidizi. MOHAMED KIMANYI. Mhazini. RESTITUTA H. GACHA ... Read more
March 18, 2015
HUMAN RIGHT AGENCY FOR RURAL DEVELOPMENT created a Projects page.
SHIRIKA LINATOA HUDUMA ZA MSAADA NA USAIDIZI WA KISHERIA KATIKA KATA NA VIJIJI VYA KIDOKA. KAMBI YA NYASA. CHEMBA. MRIJO CHINI. ELBOLOTI. CHEKU. WAHIDA. KELEMA. MOMBOSE NA MAKORONGO AMBAPO WASAIDIZI WA KISHERIA WANAISHI MAENEO HAYO. – VILE VILE, SHIRIKA... Read more
March 18, 2015
HUMAN RIGHT AGENCY FOR RURAL DEVELOPMENT created a History page.
SHIRIKA LILIANZISHWA MWAKA 2013, NA KUPATA USAJILI MWAKA 2014. SHIRIKA LILIANZA BAADA YA WAANZILISHI KUPATA MAFUNZO YA USAIDIZI WA KISHERIA NA KUTAKIWA KUHUDUMIA JAMII, HIVYO KWAKUZINGATIA WASHIRIKI WA MAFUNZO HAYO WALIKUWA WANATOKA MAENEO MBALIMBALI YA WILAYA YA CHEMBA, NA KWAKUZINGATIA UMUHIMU WA KUIHUDUMIA JAMII, WASHIRIKI AMBAO IDADI YAO NI... Read more
March 18, 2015
HUMAN RIGHT AGENCY FOR RURAL DEVELOPMENT joined Envaya.
March 14, 2015
Sectors
Location
CHEMBA, Tanzania
See nearby organizations