Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Hongera Tido Mhando kwa kuwa mkurugenzi mpya wa Mwananchi Communications LTD
BODI ya Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), imemteua Mwandishi wa Habari Mkongwe barani Afrika, Tido Mhando kuwa Mkurugenzi mpya wa kampuni hiyo kuanzia jana.(Source: Tovuti ya Facebook ya Mwananchi).