Envaya

HakiElimu

UZINDUZI WA KAMPENI YA BORESHA CHEKECHEA

UZINDUZI WA KAMPENI YA BORESHA CHEKECHEA

Kampeni ya Boresha Chekechea ina lengo la kuboresha upatikanaji wa elimu ya awali hapa nchini Tanzania. Uzinduzi wa kampeni hii ulifanyika tarehe 27 September 2012 katika Ukumbi wa Tafakari kwenye Ofisi za HakiElimu eneo la Upanga Dar Es Salaam.
Views: 0
0 ratings
Time: 01:01 More in Nonprofits & Activism
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.