Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

@RNMsuya Hahahaha mimi na wewe hatupokei kodi toka wananchi kwa ajili ya kutoa huduma bali tunatoa kodi kwa ajili ya huduma hivyo ni wajibu
Maoni (0)

@RNMsuya Inabidi ifike wakati tufanye hivyo ila serikali isisahau majukumu yake ikatulazimu tuchangie vitabu kisha mishahara etc

A moment to share advocacy and media skills with CEGAA and TAC (South Africa) http://t.co/p2osBKfo &| http://t.co/94DP8OFl @Sbo_Rose

Wakati tunahangaika na maadili ya wanafunzi haya sasa Walimu nao wanalalamikiwa kwa upotevu wa maadili nchini.... http://t.co/q2E8xgeq

@lilianruga Good news ! Ama kweli Matokeo hayaji siku moja hizi ni jitihada toka enzi zako, thanks for sharing this good news