Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Muwe na moyo wa huruma na upendo na msaada kwa wagonjwa kama kiapo chenu kinavyowataka - JK
Comments (0)
@lilianruga @Udadisi Wanaotaka kiasi kilichopo wabaki wasiotaka waende huko watakapopewa kiasi wanachotaka- JK
@MariaSTsehai @Irenei2011 Hiyo kali kwa hiyo tunaangalia edited version hahahaha kaka mkuu atakuwa aliambiwa action , cut , one two three
Mabilioni ya fedha yamerudishwa nchini kutokana na fedha zetu zilizotumika kisivyo halali kununulia rada, fedha... http://t.co/zXEtp2yp
Hili Tulilipigia kelele sana katika kampeni zetu za uwazi na uwajibikaji serikalini ! Kilichobakia wananchi ni... http://t.co/1MR1YaqB
@RNMsuya Basi ni muhimu kila mmoja kutimiza wajibu wake ! Wananchi na Serikali ili tuweze kusogea toka tulipo