Envaya

HakiElimu

Habari

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Haki Elimu HakiElimu

THE LARGEST ALBUM IN TANZANIA IS IN MAKING http://t.co/Wer7idym BE A PART OF IT & CHANGE LIVES OF THESE INNOCENT KIDS...

Haki Elimu HakiElimu

THE LARGEST ALBUM IN TANZANIA IS IN MAKING http://t.co/Wer7idym BE A PART OF IT & CHANGE LIVES OF THESE... http://t.co/fSpAY0jZ

Haki Elimu HakiElimu

Kushiriki katika kampeni ya #boreshachekechea tutumie picha yako ikiwa na mawazo yako kwenda media@hakielimu.org au hakielimumedia@gmail.com

Haki Elimu HakiElimu

Confirmed: Mheshimiwa balozi wa Tanzania nchi katika nchi fulani kushiriki katika #boreshachekechea je wajua ni nani na atashiriki vipi?

Haki Elimu HakiElimu

@bhilabhaye picha itatuma ujumbe itatoa mawazo italeta mshikamano italeta mageuzi fuatilia TL yetu ufahamu ni picha zipi na shiriki

Haki Elimu HakiElimu

Mbunge kijana na asiyekubali kushindwa anayetuwakilisha EA ashiriki katika # boreshachekechea je wajua ni nani huyo na amesemaje

Haki Elimu HakiElimu

Mshindi wa tuzo ya R&B nchini Tanzania anakuwa msanii wa kwanza nchini, kushiriki katika #boreshachekechea je wajua ni nani?

Haki Elimu HakiElimu

@GIVENALITY @TYVAvijana At the moment only pic with messages will suit,see this http://t.co/Wer7idym & think of what can work for pre-skuls

Haki Elimu HakiElimu

@kmanaseh All the way from India with your fellow Tanzanians we are looking forward to receive your pictures for #boreshachekechea campaign