Envaya

HakiElimu

Habari

Haki Elimu HakiElimu

HILI NDILO TAMKO LA HAKIELIMU KUHUSU KAMPENI YA ‘BORESHA ELIMU YA CHEKECHEA http://t.co/NjnQwEu6

Haki Elimu HakiElimu

@Matteomwita kama una nia ya kutuma mawazo yako bila kuonekana basi yaandike katika projector tutumie nasi tutayaweka huwa hatuandiki majina

Haki Elimu HakiElimu

@Danielbwaxsy mawazo yako uliyoyatoa ni muhimu sana katika kampeni hii tutafurahi kama yataingia katika album ya kihistoria nchini

Haki Elimu HakiElimu

@MichuziJr shukrani kaka tulitaka kusikia kwenu na tumesikia na tuna furaha kusikia nia yenu ya kutaka kufahamu zaidi taarifa kamili kuwajia

Haki Elimu HakiElimu

@QuerreChaArusha hakielimumedia@gmail.com au tuma kwenda media@hakielimu.org

Haki Elimu HakiElimu

@MichuziJr haswa maelezo yatafuata shukrani kwa kutaka kufahamu zaidi mdau wetu

Haki Elimu HakiElimu

@CSintah ndio kwanza tumeanza mdau hivyo tunakupa habari hatuja blame mtu yoyote kwani ushiriki ni wa hiari