Envaya

HakiElimu

Amakuru

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

@SAelloc Kampeni mbalimbali kuikumbusha serikali na jamii kutimiza wajibu wao ! Uhamasishaji na Utetezi ndio kazi yetu ! Mdharau Mwiba?

Haki Elimu HakiElimu

@arafat_86 Yap mwaka jana tuliliona hili linalotokea sasa ! Soma ripoti hiyo kwa undani ufahamu nini tuligundua

Haki Elimu HakiElimu

Mwaka 2011 mwezi Octoba; HakiElimu ilifanya utafiti kufahamu kama walimu wana hamasa ya kufundisha , soma hapa http://t.co/h7oFHJjZ

Haki Elimu HakiElimu

TAMKO LA HAKIELIMU KUHUSU MGOMO WA WALIMU TANZANIA, 02 Agosti 2012 http://t.co/XRQI0TAd

Haki Elimu HakiElimu

Mchana mwema,Tusipoziba ufa tutajenga ukuta ! Mwenye macho haambiwi tazama ! TAFAKARI CHUKUA HATUA #MgomoWalimu

Haki Elimu HakiElimu

Pressconference: Walimu pia wanaangalia na wanafahamu yanayoendelea mfano rushwa, ufisadi, ubadhirifu halafu serikali haina uwezo?????

Haki Elimu HakiElimu

Press conference: Pia taifa lielewe wanafunzi nao wanajitambua na wanafahamu haki zao #mgomowalimu

Haki Elimu HakiElimu

Press conference: Madhara ya mgomo baridi wa walimu yameonekana katika matokeo ya mitihani pia maendeleo ya wanafunzi

Haki Elimu HakiElimu

#Press conference: Katika hili #mgomowalimu Serikali inatakiwa kutumia maarifa zaidi kuliko ubabe

Haki Elimu HakiElimu

Pressconference: HakiElimu haiungi mkono watu wanaowatumia watoto au kuwashawishi kuandamana na kuhatarisha usalama wao #mgomowalimu