Envaya

HakiElimu

Amakuru

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

Maslahi ya Walimu

Tusipoangalia maslahi ya Walimu wachache bora tulionao ,hiki ndicho kitakachofuata
Views: 18
0 ratings
Time: 01:23 More in Nonprofits & Activism

Uhaba wa Vyoo katika Shule Tanzania

Serikali, wadau wa maendeleo na jamii kwa ujumla ni wajibu wetu sote kuhakikisha uwepo wa vyoo bora vinavyokidhi mahitaji walimu na wanafunzi.
Views: 0
0 ratings
Time: 00:58 More in Film & Animation

Fahamu Umuhimu wa Elimu ya Awali

Wadau wa elimu nchini wakielezea umuhimu wa elimu ya awali kwa watoto kabla ya kuanza darasa la kwanza.
Views: 0
0 ratings
Time: 03:18 More in Film & Animation

TUUNGANE KUPINGA MAUAJI YA NDUGU ZETU ALBINO

Mwaka 2008 Shirika la HakiElimu lilitoa ujumbe kuitaka Serikali na jamii kuhakikisha tunawalinda ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi (ALBINO) ambao wamekuwa wakiuliwa na watu wenye imani za ...
Views: 3
0 ratings
Time: 00:55 More in Film & Animation

TOKOMEZA ZIRO

Wimbo wa Tokomeza Zero wenye lengo la kuburudisha, kuelimisha na kuitaka jamii kuipa sekta ya elimu kipaumbele kwa maendeleo ya Taifa. Wimbo huo umeimbwa na Mwasiti, Linah, Roma ...
Views: 16
0 ratings
Time: 04:56 More in Film & Animation

NI WAJIBU WETU SOTE.TAFAKARI

Tafakari nasi katika tangazo hili la dakika moja. Mwanafunzi kuhitimu darasa la saba bila kujua kusoma, kuhesabu na kuandika, Je ni kosa la Mwanafunzi, Mzazi, Mwalimu au Serikali?
Views: 0
0 ratings
Time: 01:04 More in Film & Animation

TANGAZO LA UWEKEZAJI NA UWAJIBIKAJI KATIKA ELIMU YA AWALI

Tangazo hili la sekunde 60, linawakumbusha wadau wote wa elimu kuipa kipaumbele elimu ya awali tofauti na hali halisi ilivyo sasa. Serikali, Wazazi, na wanajamii wote tujiuulize tunawajibika...
Views: 4
0 ratings
Time: 01:03 More in Film & Animation

TANGAZO LA TAFAKARI YA UBORA WA VITABU

Tangazo linaloonesha chang'amoto zilizomo katika Vitabu vya Kiada na Ziada vilivyoidhinishwa na Serikali kutumika katika shule za msingi nchini na kusababisha mkanganyiko katika elimu.
Views: 1
0 ratings
Time: 01:02 More in Film & Animation