Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

Dr Mkumbo akichambua bajeti anasema yeye hatashukuru familia yake hivyo tukae tayari kusikiliza maoni yake na wadau wengine #bajetielimu

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu kambi ya upinzani imelipa suala la mgomo wa walimu kipaumbele wakati MoEVT hajiutaja

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu Waziri Kivuli wa Elimu: madai ya walimu ni muhimu

Haki Elimu HakiElimu

Wadau wa elimu wakifuatilia hotuba ya kambi ya upinzani inayosomwa sasa bungeni #bajetielimu http://t.co/5J68YfnT

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu Je, hotuba ya Dr Shukura Kwambwa Bungeni leo inaleta matumaini au la?

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu Tanzania needs to get into the Guiness book of records for the number of learners who pass but can neither read nor write

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu Current literacy rate as per Shadow Minister : 69% What do you have to say?

Haki Elimu HakiElimu

Wadau wa elimu nchini wakifuatilia bajeti ya elimu ikiwasilishwa na upinzani #bajetielimu http://t.co/kMzm95vK

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu Literacy in Tanzania in the eighties: 91%, as per Shadow Minister of Education's speech.

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu tunamskiliza Waziri Kivuli wa Elimu, Susan Lyimo