Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

 

-      GSTF imetekeleza mradi wa Uimarishaji, Uwajibikaji na Uwazi kwenye usimamizi na utumiaji wa asilimali ardhi wilaya ya Kilosa, mradi uliofadhiriwa na Foundation for Civil Society Tshs.88,915,300/=

-      Mwaka 2011 GSTF ikifadhiriwa na Foundation for Civil Society Tshs.44,535,700/= ilitekeleza mradi wa Kuimarisha Ushirikishwaji, Uwajibikaji na Uwazi kwa jamii na viongozi wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro.

-      Mwaka 2009/2010 GSTF chini ya ufadhiri wa the Foundation for Civil Society Tshs.34,948,700/= ilitekeleza mradi wa Ufuatiliaji wa Matumizi ya rasilimali za umma katika tarafa ya Mikumi wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro.

8 Nyakanga, 2014

Ibitekerezo (1)

joshua kihaka (morogoro) bavuzeko
kazi mnazofanya ni nzuri mno,naomba mzidi kutandaa zaidi na mikoa mingine ili matunda ya kazi yenu wafaidi na watanznia wengine 2.Ongezeni juhudi ya kuendelea kuibua maradi mingine kupitia wananchi hasa wa vijijini ili kuendelea kupunguza kero zao.
18 Kanama, 2014

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.