GOLAFOUNDATION imefanikiwa kufika katika kisiwa cha KASALAZI na sehemu ya nchi kavu KANYARA kwaajili ya utafiti wa MADINI ya ziwani kama vile; samaki, dagaa, n.k pamoja na kutembelea sehemu mbalimba na kuongea na wananchi wa maeneo hayo.
December 10, 2016