Injira
GOLA FOUNDATION

GOLA FOUNDATION

Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

GOLAFOUNDATION ime plan kuwekeza katika kijiji cha KANYARA mara baada ya kuona fursa mbali mbali katika sehemu hiyo ya nchi kavu,Moja ya mipango ambayo imepangwa na GF ni kuwa na maeneo ya kutosha na kutengeneza ajira kubwa kutokana na rasilimali zilizopo kijijini humo kama vile; madini ya ziwani,madini ya misitu, n.k pamoja na kuwapatia elimu ya kijamii hususani afya na utunzaji wa vyanzo na mazao yanayo patikana maeneo hayo.Lengo ni kufanikisha,kutimiza na kusaidia Tanzania ya viwanda kupitia rasilimali Taifa zinazo patikana takribani Nchi nzima.