Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Moja ya bidhaa ambayo GOLAFOUNDATION tumefanikiwa kuifanya katika utekelezaji wa Tanzania ya viwanda ni Dagaa,tumeshiriki kikamilifu katika uandaaji wa dagaa yetu kuanzia inapotoka ziwani mpaka inapoingia sokoni,lengo ni kuhakikisha bidhaa yetu ni safi,kiwango, salama na inafaa kwa matumizi ya mwanadamu